Hamia kwenye habari

MEI 23, 2018
ITALIA

Mahojiano na Profesa Antonio D. PinnaD.

Mahojiano na Profesa Antonio D. PinnaD.

Daktari Pinna ni Profesa wa Upasuaji na Upandikizaji wa Viungo kwenye Chuo Kikuu cha Bologna, Mkuu wa Kitengo cha Upasuaji na Upandikizaji wa Viungo cha Policlinico S. Orsola-Malpighi in Bologna, na Daktari wa Upasuaji na Upandikizaji wa Viungo Kwenye Taasisi ya Magonjwa ya Mfumo wa Umeng’enyaji Kliniki ya Abu Dhabi.