Taarifa Fupi—Bosnia na Herzegovina
- 3,237,000—Idadi
- 969—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 16—Makutaniko
- 1 kwa 3,418—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Mashahidi Watoa Misaada Katika Nchi za Balkani
Wajitoleaji walichukua hatua mara moja ili kuwasaidia na kuwafariji waathiriwa wa mafuriko yaliyotokea Mei 2014, mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea Bosnia-Herzegovina, Kroatia, na Serbia.