Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Malawi

Taarifa Fupi—Malawi

  • 20,728,000—Idadi
  • 109,108—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,882—Makutaniko
  • 1 kwa 211—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Nimemruhusu Yehova Aongoze Njia Yangu

Simulizi la Maisha: Keith Eaton

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Kufurahia Kusanyiko Kupitia Vituo vya Habari

Kusanyiko la eneo la 2020 lilipatikana kupitia Intaneti, lakini wengi nchini Malawi na Msumbiji hawawezi kupata huduma za Intaneti. Walifauluje kufurahia kusanyiko?

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Kituo cha Satelaiti cha JW Kinachofika Maeneo Ambapo Intaneti Haifiki

Ndugu barani Afrika hutumia nini kutazama JW Broadcasting ikiwa hawawezi kupata Intaneti?

TAARIFA ZA HABARI

Kampeni ya Kuandika Barua kwa Ajili ya Ndugu Zetu Nchini Urusi​—Kutoka Malawi

Mashahidi wa Yehova nchini Malawi wasimulia mambo yaliyoonwa kuhusu kushiriki kampeni ya kuandika barua ili kuwategemeza waabudu wenzao nchini Urusi.

TAARIFA ZA HABARI

Watoto Wawili wa Mashahidi wa Yehova Waliofukuzwa kwa Sababu ya Msimamo wa Kikristo, Warudi Shuleni

Wanafunzi walifukuzwa kwa sababu ya kukataa kuimba wimbo wa taifa. Wasimamizi wa shule wamewaruhusu kurudi shuleni.

KAZI YA UCHAPISHAJI

Kuwasaidia Vipofu Barani Afrika

Wasomaji vipofu nchini Malawi wanaeleza jinsi wanavyothamini machapisho ya Biblia ya maandishi ya vipofu katika lugha ya Chichewa.