Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Niger

  • Eneo la Haro Banda, Niamey, Niger​—Kutoa broshua inayotegemea Biblia

Taarifa Fupi—Niger

  • 27,066,000—Idadi
  • 373—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 9—Makutaniko
  • 1 kwa 83,796—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—⁠Afrika Magharibi

Ni nini kilichowachochea baadhi ya watu kutoka Ulaya kuhamia Afrika Magharibi na wamenufaika jinsi gani?